|
Moja katika kujitahidi katika kutoa Elimu kwa Jamii, Madrasatunnur Educational Trust imeanzisha Darsah za kila mwezi kwa watu wazima watakaotaka kujifunza Qur'an.
Darsah hii itakuwa kwa wale waliokuwa hawakupata nafasi ya kujifunza Qur'an wakati wakiwa wadogo.
Siku na Wakati wa Masomo
| Jumamosi |
Saa Moja hadi saa Tatu (1900 - 2300 Hours) |
Kama ilivyo kutakuwa na ada ya malipo ya kulipia ukumbi wa masomo, lakini Walimu waliopo watatoa huduma ya Elimu bure (Fiy Sabilillah)
Tafadhali bonyeza kiungo hiki uweze kuchapisha fomu ya Maombi.
Malipo ni £20.00 kwa kila Mwezi
Tafadhali kumbuka kila kipengele cha fomu na weka nakala ya fomu yako.
Tafadhali tuma fomu yako moja katika njia mbili hizi;
| Darsah za Mwezi |
| Madrasatunnur Educational Trust |
| 233 Convent Way |
| Southall, UB2 5UH |
ama itume kwa njia ya email: admission@madrasatunnur.org
|