English
Kuhusu Sisi
Malengo
Msaada
Fomu za Maombi
Darsah za Mwezi
Matangazo
Wasiliana Nasi
Fomu za Maombi
Fomu za Maombi ya wanafunzi
Madrasatunnur

Tafadhali bonyenza kiungo hapo chini kwa ajili ya kupata fomu za maombi ya mwanafunzi.

Download: Fomu ya Maombi ya Madrasah

Pia unaombwa uhakikishe kuwa umejaza vipengele vyote vilivyotakiwa, bila ya kusahau kujiekea nakala moja ya kwako mwenyewe pale utakapokuwa umekamilisha kujaza fomu.

Malipo ya Madrasah

Malipo ya £24.00 kwa kila mwezi kila mtoto mmoja.

Ukimaliza kujaza unaweza kupost kwa kutumia moja ya njia zifuatazo;

Fomu ya Usajili
Madrasatunnur Educational Trust
233 Convent Way
Southall, UB2 5UH

ama itume kwa njia ya email: admission@madrasatunnur.org

Madrasatunnur Educational Trust