English
Kuhusu Sisi
Malengo
Michango
Fomu za Mombi
Darasa za Mwezi
Matangazo
Wasiliana Nasi

Madrasatunnur Educational Trust ni Taasisi ya Elimu ya mafunzo ya Kiislam, Taasisi hii imefunguliwa kutokana na kuonekana upo umuhimu wa kuwa nayo sisi watu wa mwambao wa Africa Mashariki ambao tunaishi UK. Taasisi ipo katika Mji wa Southall Kwenye ukumbi wa Convent Way Community Hall ndani ya London Borough of Hounslow, na imepata usajili. ...

Kutafuta Elimu ni Fardh kwa kila Muislamu wa Kike na wa Kiume.

Mfumo wa maisha ya Muislamu umetawaliwa na sheria maalum ambapo ili mtu aishi kama Muislamu wa kweli inambidi awe na elimu...

Mwanaadamu yeyote, japo awe haamini kuwa yupo Mwenyezi Mungu na ipo siku moja viumbe wote tutakusanywa mbele yake, hawezi kuridhia kuona mwanawe anapata malezi mabaya kitabia, kiafya n.k. Kutoridhia pekee …

Malezi yanahusu yale yote anayofanyiwa mtoto tangu akiwa tumboni mwa mama mpaka kufikia umri wa kujitegemea...

Elimu ya akhlaaq ni elimu ya malezi ya tabia ambayo hujihusisha na kutengenea kwa moyo kwa kuupamba na tabia njema na kuuepusha na tabia mbaya...

Madrasatunnur Educational Trust