::    :: Nyumbani   :: Kuhusu sisi   :: Taarifa  :: Forum  :: Yaliyomo  [ ENGLISH ] 

 
Taarifa
 
 
 
Assalamu Alaykum
 

Assalamu Alaykum !

Kwa Niaba ya Madrasatunnur Napenda kuchukua Nafasi hii kuwaalika, kuwakumbusha na kuwaomba wale wote wenye hamu na shauku ya kusoma Ahkam Quran ya kuwa kila siku ya Jumamosi kuanzia saa kumi na moja jioni patafanyika masomo hayo hapo kwenye Ukumbi wa Madrasah.

Walimu :

Ustadh Nassor Rajab

Ustadh Abdulrahman Ahmed.

 

JAZAKALLAH